RSA:WATU WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI BAADA YA KUSHAMBULIA MSIKITI MMOJA JIJINI JOHANNESBURG.

Écrit par sur septembre 9, 2019

Uwariri.

Watu wawili wanashikiliwa na polisi baada ya kuhusika na kujaribu kusababisha madhara makubwa katika msikiti mmoja uliopo ndani ya mtaa wa Nugget jijini Johannesburg hapa Afrika kusini jana usiku.

watu hao na wengine ambao walikimbia walirushwa bomu la asili lililotengenezwa kwa petroli katika geti la kuingilia msikitini hapo, habari za hakikisha kuwa jeshi la polisi la inchi iyo liliwasili katika eneo la tukio na kuanza kuwasaka raiya hao ambao wanazaniwa kuwa sio wenyeji wa inchi ya afrika kusini.

Katika habari tulizo zipokea asubui kutoka mwandishi wetu inchini afrika kusini za sema kuwa, askari polisi wanahendesha msako ili kuwapata wausika

Juweni kuwa, inchi ya afrika kusini inakumbwa na gasia za mauwaji kati ya raiya wa afrika kusini zidi ya wegeni, hatuwa mbaya ya xenophobia.

http://www.fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

FiziMedia

GRATUIT
VOIR