KESI ZA ULOZI NA WALOZI HAZARANI MJINI MBOKO.
Écrit par FiziMediaCongo sur octobre 11, 2019

Nyumba ya haki mjini mboko imezipokea kesi 3 za ulozi na walozi katika kipindi cha mwezi na siku kumi.
kwamujibu wa washauri wa nyumba iyo,wanawake ndio wameonekana wengi ktk kesi izo.wamoja wanatuumiwa kuiba nguo za ndani,vifaa vya kutumia wakati wa hedhi wengine kufanya uchawi na ulozi wakupoteza mtu kiuzimauzima adi wakati huu.washauri wanaofanya kazi za ujaji wameeleza kuwa kesi izo bado zinaendelea,zina kokota mashaidi wengi.kwamujibu wa washauri wa nyumba iyo,wanawake ndio wameonekana wengi ktk kesi izo.wamoja wanatuumiwa kuiba nguo za ndani,vifaa vya kutumia wakati wa hedhi wengine kufanya uchawi na ulozi wakupoteza mtu kiuzimauzima adi wakati huu.washauri wanaofanya kazi za ujaji wameeleza kuwa kesi izo bado zinaendelea,zinaomba na kukokota mashaidi wengi.
kati ya kesi 3 izo,moja ilianzia kwenye kituo cha polisi.polisi ilitapika kesi iyo nakusema aiusiki nao.
majaji wameeleza kuwa kesi kama izo ni za kwao,wao ni asili na asili inagunduwa
Thomson undji Batangalwa William