Mboko: Nyumba za Bomoka Baada ya Nvuwa kali.
Écrit par FiziMediaCongo sur octobre 11, 2019

Nyumba kadhaa,vyoo na mafiga,zimebomoka kutokana na mvua ilionyesha usiku wakucha ijumaa hii octoba 11,mjini mbokn tarafani fizi.
jukwaa la heshima la serekali yahani tribune d’honneur ya mboko,imeruka mabati na mbao zote chini.
maupango mengi ya makuti yamepigwa mweleka.
makapita wa moja bado wanapitapita ktk mitaa ili kujua idadi kamili ya mabomomakapita wa moja bado wanapitapita ktk mitaa ili kujua idadi kamili ya mabomoko.
mirija na mifereji mikubwamikubwa imejaa maji na kuatarisha nyumba zilizo kandokando mwake.
mifereji kadhaa imekuwa mipana na kumomonyowa viwanja vingi vya wanainchi mjini mboko.
Thomson UNDJI BATANGALWA WILLIAM Journaliste pigiste.